Connect with us

Soka

Hans Anukia Jangwani

Kocha wa zamani wa Yanga sc Hans Van Pluijm huenda akarejea klabuni hapo baada ya kuwepo kwa tetesi za kocha Mwinyi Zahera kutimuliwa klabuni hapo baada ya kupata matokeo mabovu katika michezo ya hivi karibuni ukiwemo wa jana dhidi ya Pyramids.

Hans aliionoa timu hiyo kwa mafanikio na kufanikiwa kuipa makombe kadhaa aliondoka na kwenda kujiunga na Singida united na baadae Azam fc kabla ya kutimuliwa na mabingwa hao wa michuano ya Kagame kisa matokeo mabovu.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka