Connect with us

Soka

Simba,Azam Kukipiga Usiku

Bodi ya ligi kuu Tanzania bara(TPLB) imepangua ratiba ya ligi kuu kwa kubadili muda wa mechi kati ya Azam fc na Simba sc iliyopangwa kufanyika saa 11 jioni badala ya saa 10 jioni.

Kufuatia mabadiliko hayo ya mchezo huo pia uwanja wa Uhuru ambao ulipangwa kutumika kwa ajili ya mchezo huo hautatumika na badala yake mchezo huo utachezwa katika uwanja mkuu wa taifa baada ya waziri Mwakyembe kuruhusu kutumika kwa uwanja huo.

Mabadiliko ya muda wa mchezo huo yamefanyika ili kuruhusu mashabiki waliokuwa kazini kuweza kutazama mchezo huo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka