Connect with us

Makala

Abdul,Yondani Warejea Yanga

Wachezaji Juma Abdul na Kelvin Yondani wamewasili kambini kujiunga na wenzao kujiandaa na mchezo dhidi ya Zesco Fc kuwania kufuzu hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Afrika.

Wachezaji hao walikua nje ya timu kwa majukumu mbalimbali huku Kelvin Yondani na Mohamed Issa walikua na timu ya taifa kucheza dhidi ya Burundi na Juma Abdul amerejea baada ya kupata msiba wa mama yake mzazi.

Yanga ilikua mkoani Mwanza ilipoweka kambi ya mazoezi huku ikicheza mechi za kirafiki dhidi ya Pamba sc na Toto Afrika zote za Mwanza.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala