Connect with us

Masumbwi

Joshua,Luiz Kukipiga Uarabuni

Bondia Athony Joshua na mpinzani wake Andy Luiz wanatarajiwa kupigana kwa mara ya pili mwezi disemba nchini Saudi Arabia baada ya tambo za muda mrefu.

Mabondia hao ambao katika pambano la awali lililofanyika nchini Marekani mwezi juni mwaka huu ambapo Luiz alivunja rekodi ya kutopigwa ya Joshua baada ya kumpiga katika pambano hilo huku akimuangusha chini mara nne tofauti.

Joshua mwenye rekod nzuri ya mapambano ana kazi ya kurejesha taji hilo katika mpambano huo utakaofanyika disemba 7 nchini Saudia Arabia.

Pambano hilo imeamuliwa kufanyika nchini humo baada ya kila bondia kuhitaji pambano lifanyike nchini kwake hali iliyopelekea kutafutwa kwa eneo ambalo halifungamani na upande wowote.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Masumbwi