All posts tagged "Yanga sc"
-
Makala
/ 6 months agoYanga Sc Yachukua alama Tatu Kagera
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Kagera Sugar Fc...
-
Makala
/ 6 months agoFarid,Yao Kuwakosa Kagera Sugar
Mastaa wawili wa klabu ya Yanga sc Farid Mussa na Yao Kouasi Attouhoula wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Ufunguzi wa ligi kuu...
-
Makala
/ 6 months agoYanga Sc Yairarua Vital O
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Vital O ya Burundi katika mchezo wa marudiano...
-
Makala
/ 6 months agoOkrah Aiponza Yanga Sc
Shirikisho la soka Duniani (Fifa) limeitwanga barua klabu ya Yanga sc kukamilisha malipo ya ununuzi wa mchezaji Augustine Okrah inayodaiwa na...
-
Makala
/ 6 months agoVital O Yapigwa 4G
Klabu ya soka ya Vital O kutoka nchini Burundi imekubali kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Yanga sc katika mchezo wa...
-
Makala
/ 6 months agoCaf Yazipa Mamilioni Yanga Sc,Azam Fc
Shirikisho la Soka barani Afrika (Caf) limetoa mgawo wa fedha dola elfu hamsini kwa klabu zote zinazoshiriki michuano ya klabu bingwa...
-
Makala
/ 6 months agoYanga Sc Yajazwa Mamilioni
Mastaa wa klabu ya Yanga sc wamefanikiwa kulamba Takribani Shilingi milioni mia tatu kutoka kwa mabosi wa klabu hiyo baada ya...
-
Makala
/ 6 months agoYanga Sc Yabeba Ngao ya Jamii
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua taji la kwanza la msimu baada ya kubeba taji la Ngao ya jamii katika mchezo...
-
Makala
/ 6 months agoSimba Sc Yajipoza Kwa Coastal Union
Klabu ya Simba Sc imejipoza kutoka kufungwa Derby ya kariakoo na Yanga sc baada ya kuibamiza Coastal Union kwa bao 1-0...
-
Makala
/ 7 months agoYanga Sc Ubabe Ubabe
Yanga sc imeendeleza Ubabe kwa Simba sc baada ya kuifunga 1-0 na kufanikiwa kuingia Fainali ya kombe la Ngao ya jamii...