All posts tagged "Yanga sc"
-
Makala
/ 3 months agoYao Kouasi Nje Wiki Sita
Mlinzi wa Kulia klabu ya Yanga Sc Yao Kouassi Attouhoula atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki nne mpaka sita...
-
Makala
/ 3 months agoBoka Afiwa na Baba Mzazi
Mchezaji wa Klabu ya Yanga sc Shadrack Boka amefiwa na baba yake mzazi msiba uliotokea juzi tarehe 11/01/2025 huko nyumbani kwao...
-
Makala
/ 3 months agoYanga Sc Yanukia Robo Fainali Cafcl
Ushindi wa 1-0 ulioupata klabu ya Yanga sc dhidi ya Klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan umeiweka timu hiyo katika...
-
Makala
/ 3 months agoIbenge Afunguka Yanga sc Ikiwasili Mauritania
Kocha wa klabu ya Al Hilal Omdurman Florent Ibenge amesema kuwa mchezo baina ya klabu yake dhidi ya Yanga sc ni...
-
Makala
/ 3 months agoNzengeli,Yao Kouasi Waachwa Dar
Wakati msafara wa klabu ya Yanga sc ukiondoka mapema asubuhi ya leo Januari 9 2024 kuelekea nchini Mauritania kwa ajili ya...
-
Makala
/ 3 months agoYanga Sc Yanogesha Matumaini ya Robo Fainali Caf
Klabu ya Yanga sc imezidi kunogesha safari yake ya kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Klabu bingwa...
-
Makala
/ 3 months ago“Gusa Achia,Twende kwa Mazembe” Ramovic
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga sc Sead Ramovic ameahidi kuendelea kutumia mfumo wake wa kushambulia zaidi kuelekea mchezo wa kesho...
-
Makala
/ 3 months agoYanga Sc Yarejesha 5g Dhidi ya Fountain Gate Fc
Klabu ya Yanga sc imerejesha makali yake ya ufungaji baada ya kuifunga Fountain Gate Fc kwa mabao 5-0 katika mchezo wa...
-
Makala
/ 3 months agoAucho Aifungukia Azam Fc
Kiungo wa klabu ya Yanga sc Khalid Aucho amesema kuwa mchezo baina ya klabu hiyo na Azam Fc ndio mechi pekee...
-
Makala
/ 3 months agoYanga Sc Yaibamiza Prisons Fc
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Tanzania...