All posts tagged "Yanga sc"
-
Makala
/ 1 week agoShemeji Aongoza Kipigo Cha Stand United
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Stephane Aziz Ki ameiongoza klabu hiyo kuifunga Timu ya Stand United kwa mabao 8-1...
-
Makala
/ 1 week agoPacome Nje Siku 10
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Pacome Zouzoua anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani siku kumi akiuguza majeraha ya...
-
Makala
/ 2 weeks agoYanga Sc Yairarua Azam Fc
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuibuka na alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kuifunga Azam...
-
Makala
/ 2 weeks agoYanga sc Vs Azam Fc Hapatoshi Kesho
Tambo mbalimbali za makocha na wachezaji wa klabu za Yanga sc na Azam Fc zimeendelea kuhamasisha mchezo huo utakaopigwa kesho katika...
-
Makala
/ 2 weeks agoAucho Kuwakosa Azam Fc
Kiungo wa klabu ya Yanga sc Khalid Aucho anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki tatu akijitibu majeraha ya nyama...
-
Makala
/ 2 weeks agoYanga Sc Kukomaa na Feisal
Inaelezwa kuwa klabu ya Yanga sc ipo mbioni kufanya mazungumzo na kiungo wa Azam Fc ,Feisal Salum ili arejee kwenye kikosi...
-
Makala
/ 3 weeks agoYanga sc Yamuwania Girumugisha
Taarifa kutoka Nchini Burundi zimethibitisha kuwepo na Mazungumzo baina ya klab ya Yanga sc na winga Raia wa Burundi anayeitumikia klabu...
-
Makala
/ 3 weeks agoKamwe Akamatwa Tabora
Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Klabu ya Yanga sc Ally Kamwe anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Tabora...
-
Makala
/ 3 weeks agoYanga Sc Walamba Asali Tabora
Ilikua raha kama kulamba asali ya nyuki wadogo,Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mashabiki na viongozi wa klabu ya Yanga sc kutoka...
-
Makala
/ 3 weeks agoCas Yapokea Barua ya Yanga sc
Mahakama ya usuluhishi wa masuala ya michezo duniani (CAS) imethibitisha rasmi kuwa imepokea barua rasmi kutoka klabu ya Yanga Sc juu...