Connect with us

All posts tagged "ulaya"

  • Liverpool Vs Ajax Kukiwasha Leo

    Ligi ya mabingwa inaendelea leo ambapo watetezi wa ligi kuu England,Liverpool itavaana na Ajax majira ya saa 4:00 usiku uwanja wa...

  • Haaland Huyoo Madrid

    Klabu ya Real Madrid imesema kuwa kwa msimu huu itahakikisha inapata saini ya mshambuliaji wa taifa la Norway na klabu ya...

  • Tetesi Za Usajili Ulaya

    Arsenal huenda ikampoteza mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, ambaye anatakiwa na Real Madrid. Raia huyo wa Gabon mwenye miaka 30 anatakiwa...

  • Tetesi Za Usajili Ulaya

    Mshambuliaji waNigeria Odion Ighalo, 30, atalazimika kupokea paundi £200,000-kwa wiki ikiwa anataka kubadilisha-uhamisho wake wa mkopo Manchester United kutoka klabu ya...

  • Tetesi Za Usajili Ulaya

    Manchester United ianajiandaa kutangaza dau la kumnunua mlinzi wa Juventus na Uholanzi Matthijs de Ligt, 20, huku kiungo wa kati wa...

  • Tetesi Za Usajili Ulaya

    Real Madrid huenda ikamtimua kocha wake Zinedine Zidane na kumuajiri aliyekuwa kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino ama aliyekuwa kocha wa Juventus...

  • Tetesi Za Usajili Ulaya

    Kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 26, atarejea katika mazoezi ya kikosi cha kwanza Manchester United wiki hii na anapania...

  • Samata Ashtua Wazungu

    Wachezaji wa Aston Villa wakiongozwa na Jack Grealish, Tyrone Mings na Ezri Konsa wameshtushwa na kasi inayooneshwa na Mbwana Samatta katika...

  • Tetesi Za Usajili Ulaya

    Wachezaji wa Atletico Madrid walishikwa na hasira na kushangazwa baada ya kukosolewa na kocha wa Liverpool Jurgen Klopp. Atletico iliwafunga Liverpool...

  • Tetesi Za Usajili Ulaya

    Barcelona italazimika kumjumuisha mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann katika mpango wowote utakaojaribu kuishawishi Inter Milan kuwauzia Lautaro Martinez. (Sun) Pep Guardiola...

More Posts