All posts tagged "simba sc"
-
Soka
/ 6 years agoNduda,Mbonde Warudi Nyumbani
Timu ya Mtibwa Sugar imesajili wachezaji Said Mohamed “nduda” na Salim Mbonde waliotemwa na klabu ya Simba baada ya miaka miwili...
-
Soka
/ 6 years agoAjibu,Rooney Walala Hoteli Moja Bondeni
Ni kama zali la mentali kwa mshambuliaji Ibrahimu Ajibu baada ya kusota akiwa jangwani na sasa anakula raha katika hoteli aliyokaa...
-
Soka
/ 6 years agoJuuko Aweka Ngumu Simba
Beki wa klabu ya Simba Mganda Juuko Murshid ameweka ngumu kuripoti klabuni kujiunga na timu katika kambi ya maandalizi ya msimu...
-
Soka
/ 6 years agoWaliokwama Simba Sasa Freshi
Mastaa wa timu ya Simba sc ambao walikwama kusafiri na timu hiyo kwenda katika kambi ya maandalizi ya msimu mpya nchini...
-
Soka
/ 6 years agoSita Watolewa kwa Mkopo Simba sc
Timu ya Simba sc imewatoa kwa mkopo nyota wake sita kwenda timu zingine ili wapate nafasi ya kucheza baada ya kukosa...
-
Soka
/ 6 years agoSimba ni Zaidi ya Tp Mazembe-Ajib
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Simba sc Ibrahim Ajib ameamua kutoa ufafanuzi kuhusu suala ya kutojiunga na timu ya Tp Mazembe...
-
Soka
/ 6 years agoSingano Atua Tp Mazembe
Winga wa zamani wa klabu ya Simba Ramadhani Singano “Messi”amejiunga na klabu ya Tp Mazembe ya nchini Kongo baada ya kumaliza...
-
Soka
/ 6 years agoSimba Queens Kupaa Ulaya
Timu ya wanawake ya Simba sc(Simba queens) leo saa tano asubuhi watakabidhiwa bendera ya taifa kwa ajili ya safari yao ya...
-
Soka
/ 6 years agoStraika la Mazembe Sasa Rasmi Msimbazi
Simba sc wamekamilisha usajili wa mshambualiaji Deo Kanda aliyekuwa akiichezea Tp Mazembe ambaye amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuendeleza moto wa...
-
Soka
/ 6 years agoAjibu Alamba 100m Simba
Simba sc tayari imeshamalizana na Mshambuliaji Ibrahim Ajibu na muda wowote anaweza kutambulishwa rasmi baada ya mkataba wake na Yanga sc...