All posts tagged "simba sc"
-
Soka
/ 5 years agoGwambina Wairejesha Yanga Usiku
Baada ya kulazimishwa matokeo ya suluhu dhidi ya Coastal Union jana, kikosi cha Yanga kilisafiri usiku kwa usiku kurejea jijini Dar...
-
Soka
/ 5 years agoSimba Kubadili Nembo
Klabu ya Simba sc ipo mbioni kubadili nembo yake kwa mujibu ya taarifa kupitia mitandao ya kijamii ya klabu hiyo. Klabu...
-
Soka
/ 5 years agoAjibu Kuwakosa Lipuli Leo
Staa wa klabu ya Simba Ibrahimu Ajibu hatakua sehemu ya kikosi cha timu kinachoshuka dimbani jioni ya leo kupambana na Lipuli...
-
Soka
/ 5 years ago“Nitaendelea Kufungwa Tu”-Manula
Kipa wa timu ya Simba sc Aishi Manula amesisitiza kuwa ataendelea kufungwa endapo atakaa langoni kuidakia timu hiyo katika michezo mbalimbali....
-
Soka
/ 5 years agoSimba Wailaza Mtibwa Sugar
Timu ya soka ya Simba sc imeibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya mtibwa sugar katika mchezo wa ligi...
-
Soka
/ 5 years agoMagori Afunguka Simba sc
Aliyewahi kuwa mtendaji mkuu (CEO) wa klabu ya Simba kwa Sasa Mshauri wa Mohamed Dewji Mo (Mwekezaji wa Simba), Crescentuis Magori...
-
Makala
/ 5 years agoJkt Tanzania Walipa Kisasi Simba
JKT Tanzania wamelipa leo kisasi dhidi ya Simba Sc kwa kuwachapa bao 1-0 katika michuano ya ligi kuu bara katika uwanja...
-
Soka
/ 5 years agoMastaa Kibao Majeruhi Simba
Klabu ya Simba imebainisha kuwa wachezaji wake wanne wa kikosi cha kwanza wanasumbuliwa na majeraha mbalimbali kipindi hiki. Wachezaji hao ni...
-
Soka
/ 5 years agoMjipange,Deo Kanda Anarejea
Winga wa klabu ya Simba mkongo Deo Kanda amerejea nchini tayari kuanza kukitimikia kikosi cha wekundu hao baada ya kuwa nje...
-
Makala
/ 5 years agoMbelgiji Simba Ahesabiwa Siku
Kocha mkuu wa Simba Sc Sven Vanderbroeck amewekwa kitimoto na mabosi wa klabu hiyo kutokana na kutokufurahishwa na utendaji wake wa...