All posts tagged "simba sc"
-
Makala
/ 4 years agoAjibu Aruhusiwa Kusepa Mazima Simba
Uongozi wa Simba wamemruhusu kiungo wao, Ibrahim Ajibu kuondoka muda wowote atakaohitaji na kwenda kujiunga na klabu yoyote itakayomuhitaji baada ya...
-
Makala
/ 4 years agoKiungo Yanga Anukia Simba
Kiungo wa zamani wa Yanga Sc Andrey Coutinho, ameibuka na kuwaambia viongozi wa Simba kuwa yupo tayari kurejea nchini kujiunga na...
-
Soka
/ 4 years agoSikukurupuka-Ajibu
Staa wa klabu ya Simba sc Ibrahim Ajibu Migomba amesema kuwa hakukurupuka kujiunga na klabu ya Simba sc na kukataa ofa...
-
Makala
/ 4 years agoCorona Yamkosesha Amani Manara.
Afisa habari wa klabu ya Simba Sc, Haji Manara amefunguka kuwa anakosa amani kwani kila anapowaza janga la virusi vya Corona...
-
Makala
/ 4 years agoSven ,Napenda Samaki
Kocha mkuu wa Simba Sc amesema kuwa miongoni mwa msosi anaopenda kula ni samaki wale wa bahari ya hindi kwa kuwa...
-
Makala
/ 4 years agoBeki Nkana Kutua Yanga
Beki wa kati wa timu ya Nkana kutoka Zambia,Musa Mohammed amekiri kufanya mazungumzo na viongozi wa Yanga kwa ajili ya kujiunga...
-
Makala
/ 4 years agoUsajili Wa Kagere Kufungukiwa Na APR
Uongozi wa APR Fc ya Rwanda upo kstika harakati za kumsajili wa Simba Sc ,Meddie Kagere kwa ajili ya kuitumikia klabu...
-
Makala
/ 4 years agoKocha Ataka Wachezaji Wamuige Samatta
Kocha msaidizi wa Mtibwa Sugar ,Patrick Mwangata amewaasa wachezaji nchini kumuiga nahodha wa Taifa Stars,Mbwana Samatta katika suala la nidhamu na...
-
Makala
/ 4 years agoBeki Simba Azipa Kipaumbele Azam,Yanga
Aliyekuwa beki wa Simba Sc Zana Coulibaly ambaye pia ni raia wa Ivory Coast amesema kuwa yupo tayari kurejea Bongo kukipiga...
-
Makala
/ 4 years agoMkenya Avutiwa Na Uwezo Wa Papy,Fei Toto
Kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Kariobang Sharks ya Kenya,Yidah Sven anavutiwa na uwezo wa kiungo Papy Tshishimbi na Fei Toto...