All posts tagged "simba sc"
-
Makala
/ 4 months agoSimba Sc Yawashangaza waarabu Dar
Bao la ushindi la dakika ya 90+7″ lililofungwa na Kibu Dennis limezua tafrani baada ya kuipatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi...
-
Makala
/ 4 months agoLakred Kumpisha Mpanzu Dirisha Dogo
Golikipa wa klabu ya Simba Sc Ayoub Lakred yupo mbioni kuondoka nchini kurudi nyumbani kwao nchini Algeria baada ya klabu hiyo...
-
Makala
/ 5 months agoManula Abaki Airport Dar
Taarifa mpya kutoka ndani ya klabu ya Simba Sc ni kuwa kipa Aishi Manula amebaki nchini mara baada ya kupata matatizo...
-
Makala
/ 5 months agoKagoma Aachwa Msafara Kuivaa Fc Constantine
Klabu ya Simba Sc imesafiri kuelekea nchini Algeria kuvaana na klabu ya Fc Constantine ya nchini humo katika mchezo wa hatua...
-
Makala
/ 5 months agoFadlu Afungukia usajili Simba sc
Kocha Mkuu wa klabu ya Simba Sc Fadlu Davis amesema kuwa anahitaji mastaa wapya klabuni humo lakini sio kujaza idadi bali...
-
Makala
/ 5 months agoSimba Sc,Pamba Jiji Fc Watozwa Faini
Bodi ya ligi kuu nchini imewatoza faini ya Shilingi milioni tano kila mmoja klabu za Simba sc na Pamba Jiji Fc...
-
Makala
/ 5 months agoSimba Sc Yatoa Dozi Cafcc
Klabu ya Simba Sc imeendelea kuuheshimisha uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa...
-
Makala
/ 5 months agoSimba Sc Yaachana na C.e.o Mrwanda
Klabu ya Simba Sc imemtangaza Bi Zubeda Hassan Sakuru kuwa Kaimu mtendaji mkuu wa Klabu hiyo akichukua nafasi ya Francois Regis...
-
Makala
/ 5 months agoMinziro Aikataa Penati ya Simba Sc
Kocha wa klabu ya Pamba Jiji ya jijini Mwanza Fred Felix Minziro ameikataa penati iliyopewa klabu ya Simba Sc katika mchezo...
-
Makala
/ 5 months agoAteba Aimaliza Pamba Jiji Fc
Bao la penati dakika ya 23 la Lionel Ateba limeiwezesha klabu ya Simba Sc kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi...