All posts tagged "simba sc"
-
Makala
/ 2 months agoSimba Sc,Pamba Jiji Fc Watozwa Faini
Bodi ya ligi kuu nchini imewatoza faini ya Shilingi milioni tano kila mmoja klabu za Simba sc na Pamba Jiji Fc...
-
Makala
/ 2 months agoSimba Sc Yatoa Dozi Cafcc
Klabu ya Simba Sc imeendelea kuuheshimisha uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa...
-
Makala
/ 2 months agoSimba Sc Yaachana na C.e.o Mrwanda
Klabu ya Simba Sc imemtangaza Bi Zubeda Hassan Sakuru kuwa Kaimu mtendaji mkuu wa Klabu hiyo akichukua nafasi ya Francois Regis...
-
Makala
/ 2 months agoMinziro Aikataa Penati ya Simba Sc
Kocha wa klabu ya Pamba Jiji ya jijini Mwanza Fred Felix Minziro ameikataa penati iliyopewa klabu ya Simba Sc katika mchezo...
-
Makala
/ 3 months agoAteba Aimaliza Pamba Jiji Fc
Bao la penati dakika ya 23 la Lionel Ateba limeiwezesha klabu ya Simba Sc kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi...
-
Makala
/ 3 months agoUtata Wazuka Simba Sc Vs pamba Jiji
Presha ya mchezo wa ligi kuu baina ya klabu za Pamba Jiji dhidi ya Simba Sc utakaofanyika jioni ya leo imezidi...
-
Makala
/ 3 months agoSimba Sc Kuzindua Jezi Jumatano
Klabu ya Simba Sc itazindua jezi maalumu kwa ajili ya michuano ya kimataifa ya Kombe la Shirikisho barani Afrika siku ya...
-
Makala
/ 3 months agoNgoma Ajiengua Simba Sc Mdogo Mdogo
Kiungo wa klabu ya Simba Sc Fabrice Ngoma ameanza kujiengua klabuni hapo mdogo mdogo kwa kuanza kufuta baadhi ya picha zake...
-
Makala
/ 3 months agoRc Tabora Aichongea Simba Sc
Mkuu wa mkoa wa Tabora Mh.Chacha Matiku ameahidi zawadi ya shilingi milioni 50 za kitanzania kwa wachezaji wa klabu ya Tabora...
-
Makala
/ 3 months agoKagoma,Hamza Kuwakosa Kmc
Kocha wa klabu ya Simba Sc Fadlu Davis amesema kuwa mastaa Yusuph Kagoma na Abdulrazak Hamza wanatarajiwa kuukosa mchezo wa kesho...