All posts tagged "simba sc"
-
Makala
/ 1 day agoSimba Sc Mambo Magumu Misri
Klabu ya Simba Sc imepoteza mchezo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika...
-
Makala
/ 2 days agoCas Yapokea Barua ya Yanga sc
Mahakama ya usuluhishi wa masuala ya michezo duniani (CAS) imethibitisha rasmi kuwa imepokea barua rasmi kutoka klabu ya Yanga Sc juu...
-
Makala
/ 7 days agoCaf Yaridhishwa Benjamin Mkapa Kutumika Caf
Shirikisho la Soka barani Afrika (caf) limeufungulia uwanja wa Benjamin Mkapa kutumika katika michezo ya hatua ya robo fainali na nusu...
-
Makala
/ 1 week agoSimba Sc Yafuzu Nusu Fainali Crdb
Ushindi wa mabao 2-1 ilioupata klabu ya Simba Sc dhidi ya Klabu ya Bigman Fc umeivusha moja kwa moja katika hatua...
-
Makala
/ 1 week agoSimba Sc Kuifuata Al Masry Alfajiri
Msafara wa kikosi cha timu ya Simba sc kijatarajiwa kuondoka alfajiri ya kesho Machi 28 kuelekea nchini Misri kwa ajili ya...
-
Makala
/ 1 week agoChe Malone Kuikosa Al Masry
Beki wa klabu ya Simba Sc Che Malone Fondoh anatarajiwa kuukosa mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Al...
-
Makala
/ 1 week agoSimba Sc Yapambana Kupunguza Uchovu Mastaa
Uongozi wa klabu ya Simba Sc unafanya mawasiliano ya karibu na shirikisho la mpira nchini (TFF) ikiwezekana wachezaji wao walioko katika...
-
Makala
/ 3 weeks agoCaf Yaipiga Nyundo Benjamin Mkapa
Shirikisho la soka barani Afrika (Caf) limeamua kuufungia uwanja wa Benjamini Mkapa kutokana na sehemu ya kuchezea ya uwanja huo kutokua...
-
Makala
/ 3 weeks agoSimba Sc Yafuzu Crdb Cup
Ushindi wa mabao 3-0 ilioupata klabu ya Simba Sc katika mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya Tma Stars umeifanya kufuzu...
-
Makala
/ 4 weeks agoSintofahamu Kariakoo Derby
Mpaka sasa sintofahamu imetawala miongoni mwa wadau wa soka nchini kutokana na kutofanyika kwa mchezo baina ya Yanga sc dhidi ya...