All posts tagged "nbcpremierleague"
-
Soka
/ 3 years agoKipa Mtibwa atua Yanga
Aliyekuwa mlinda mlango namba moja wa wakata miwa kutoka Turiani Morogoro Aboutwalib Mshery amejiunga na mabingwa wa kihistoria nchini klabu ya...
-
Soka
/ 3 years agoHitimana aachana na Simba
Kocha msaidizi wa mabingwa wa tetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba sc Thiery Hitimana ameachana na klabu hiyo baada...
-
Soka
/ 3 years agoYanga yaitandika Biashara Utd
Mabingwa wa kihistoria nchini Yanga imepata ushindi wa 2-1 dhidi Biashara united kwenye moja ya mechi ngumu iliyokutana nazo msimu huu...
-
Soka
/ 3 years agoYanga yatangaza rasmi kuwatema Nchimbi,Adeyun
Uongozi wa klabu ya soka ya Yanga umetangaza rasmi kuachana na wachezaji wake Ditram nchimbi pamoja na Adeyun Swalehe waliojiunga na...
-
Soka
/ 3 years agoDeo Kanda atua Mtibwa
Winga wa zamani wa vilabu vya TP Mazembe na Simba sc Deogratius Kanda amejiunga rasmi na wakata miwa kutoka Turiani Morogoro...
-
Soka
/ 3 years agoSimba yavuna pointi 3 Tabora
Klabu ya soka ya Simba imepata ushindi mnono wa magoli 4-1 dhidi ya KMC katika mfululizo wa mechi za ligi kuu...
-
Soka
/ 3 years agoSimba yazungumzia uchangiaji uwanja,afya za wachezaji
Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu amesema kuwa hali za kiafya za wachezaji na wafanyakazi waliokumbwa na mlipuko wa homa...
-
Soka
/ 3 years agoUsajili mpya Yanga kuonekana Mapinduzi cup
Uongozi wa klabu ya Yanga umeweka wazi kuwa majembe mapya yaliyosajiliwa na klabu hiyo kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili...