All posts tagged "mkataba"
-
Soka
/ 6 years agoNinja Awatema Yanga sc
Beki Abdallah Shaibu “Ninja”amesaini mkataba na timu ya klabu ya MFK Vyoskov inayoshiriki ligi daraja la tatu Jamhuri ya Czech wa...
-
Soka
/ 6 years agoBeki Yanga Apewa Saa 24
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla amempa masaa 24 beki wa klabu hiyo Gadiel Michael awe amesaini mkataba mpya...
-
Soka
/ 6 years agoAfcon Yamchelewesha Kamusoko
Kiungo Rasta mzimbabwe Thabani Kamusoko anasubiria kumalizika kwa Michuano ya Afrika (Afcon) ili kujua hatima yake ya klabu atakayoichezea msimu ujao....
-
Soka
/ 6 years agoAjibu Alamba 100m Simba
Simba sc tayari imeshamalizana na Mshambuliaji Ibrahim Ajibu na muda wowote anaweza kutambulishwa rasmi baada ya mkataba wake na Yanga sc...
-
Makala
/ 6 years agoKiungo wa Mwigulu Atua Kmc
Kiungo Kenny Ally amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu ya Kmc inayomilikiwa na Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni akiwa mchezaji...
-
Makala
/ 6 years agoYanga Yatetema Afcon Misri
Yanga sc imeendelea kuonyesha umwamba katika kufanya usajili baada ya kumalizana na nyota kadhaa ambao wapo katika michuano ya Afcon nchini...
-
Soka
/ 6 years agoSamba Yatawala Simba sc
Katika kukiimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara na michuano ya kimataifa timu ya Simba sc imemsaini...
-
Soka
/ 6 years agoNiyonzima- “bye bye”Simba
Kiungo Mnyarwanda wa Simba sc Haruna Niyonzima ameaga mashabiki wa klabu hiyo baada ya kutopewa mkataba mpya na klabu hiyo baada...
-
Soka
/ 6 years agoKapombe Asaini Miwili Simba
Beki wa Simba sc Shomari Kapombe amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kusalia klabuni hapo baada ya mkataba wa awali wa...
-
Soka
/ 6 years agoBreaking News..Kiungo Simba Atimkia Kaizer Chief
-Ni kiungo mapafu ya mbwa James Kotei -Aaga mashabiki kwa huzuni,akumbuka kuitwa wa "matopeni"