All posts tagged "Lipuli fc"
-
Makala
/ 5 years agoSaliboko Atamani Kiatu Cha Kagere
Nyota aliyemaliza msimu wa 2019/2020 akiwa Lipuli Fc iliyoshuka daraja na kuibukia Gwambina Fc,Darueshi Saliboko ameweka wazi kupambana na kujitengenezea mazingira...
-
Makala
/ 5 years agoDuchu Wa Lipuli Atua Simba
David Kameta ‘Duchu’ ametambulishwa rasmi leo Agosti 15 ndani ya kikosi cha Simba akiwa amesaini dili la miaka miwili akitokea klabu...
-
Makala
/ 5 years agoYanga Yapigwa Bao Dodoma Fc
Dodoma Fc imefanikiwa kunasa saini ya kiungo aliyekuwa akihusishwa kujiunga na Yanga kwa mda mrefu,Cleofas Mkandala kutoka TanzaniaPrisons. Afisa habari wa...
-
Makala
/ 5 years agoNamungo Waanza Na Jembe Hili
Namungo Fc ya Lindi imeamua kumalizana na mchezaji kutoka Lipuli Fc,Fredy Tangalo ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili akiwa ni mchezaji...
-
Makala
/ 5 years agoEymael Akamuliwa Milioni 8 Tff
Kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) imemfungia miaka miwili aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga Sc , Luc Eymael...
-
Makala
/ 5 years agoMchezaji Huyu Ajifunga Miaka Miwili Simba
Beki wa klabu ya Lipuli FC ,David Kameta ‘Duchu’ inaelezwa kuwa amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya klabu ya Simba....
-
Makala
/ 5 years agoMturo Apewa Fainali FA
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza majina sita ya waamuzi watakaochezesha mchezo wa fainali kombe la Azam (ASFC) utakaofanyika Jumapili August...
-
Soka
/ 5 years agoBeki Lipuli Kutua Simba sc
Mabingwa mara tatu mfululizo wa VPL, Simba SC wamefikia hatua nzuri ya kumsajili beki wa kulia wa Lipuli, David Kameta kwa...
-
Soka
/ 5 years agoAzam Yasimamishwa Samora
Harakati za klabu ya Azam fc kumaliza nafasi ya pili ligi kuu Tanzania bara zimesimamishwa na klabu ya Lipuli Fc baada...
-
Soka
/ 5 years agoNonga,Lipuli Watibuana
Nahodha wa klabu ya Lipuli Fc Paul Nonga hajajiunga na kambi ya timu hiyo kufuatia kutomaliziwa malipo yake hasa mshahara na...