Stories By Sports Leo
-
Soka
/ 6 years agoMICHEZO YA PLAY-OFF KURUKA LIVE-AZAM TV
Baada ya jana kushindwa kuonyesha michezo hiyo ya mtoano kutokana na vurugu,Bodi ya ligi imeiomba kampuni hiyo kuonyesha live michuano hiyo...
-
Soka
/ 6 years agoTANZIA: MJUMBE KAMATI YA UTENDAJI YANGA AFARIKI
TIMU ya Yanga pamoja na familia ya wanamichezo duniani imepata pigo kufuatia kifo cha mjumbe wa kamati ya Yanga Felix Kibodya....
-
Soka
/ 6 years agoHAWA HAPA WALIOTWAA TUZO ZA MO
USIKU wa tuzo za MO zilizofanyika katika Ukumbi wa Hyatt Regency, ambapo muwekezaji wa Klabu ya Simba, Mo Dewji, ametoa tuzo...
-
Soka
/ 6 years agoSERGIO RAMOS AOMBA KUTIMKIA CHINA
SERGIO Ramos ambaye ni nahodha wa kikosi cha Real Madrid amecheza jumla ya michezo 606 akiwa ndani ya kikosi hicho tangu...
-
Soka
/ 6 years agoMEDDIE KAGERE AFICHUA SIRI YA MAFANIKIO
NYOTA wa Simba, Meddie Kagere amesema kuwa kikubwa kinachompa mafanikio kwenye soka ni kujikubali yeye mwenyewe na kujipa changamoto yeye mwenyewe....
-
Soka
/ 6 years agoKAGERA SUGAR YAWAFUNGULIA MLANGO NYOTA WAO KUTIMKIA YANGA
UONGOZI wa Kagera Sugar itakayocheza Play off na Pamba, umesema kuwa hakuna tatizo kwa wachezaji wao kujiunga na vikosi vingine msimu...
-
Soka
/ 6 years agoSIMBA KUIBOMOA KAGERA SUGAR, WAWILI WATAJWA
NYOTA wawili wa Kagera Sugar, Ramadhan Kapera na Kassim Khamis wameonyesha dalili za kuihama timu hiyo itakayocheza Play off na Pamba...
-
Soka
/ 6 years agoDAH! MWANA TAMBWE KUMBE AMEWEKWA KIPORO….
Huku Yanga ikimuweka kiporo mshambuliaji wake, Amissi Tambwe, nyota huyo amepata ofa moja kutoka nje ambayo hajaiweka wazi. Tambwe ni mmoja...
-
Soka
/ 6 years agoBODI YA LIGI LAZIMA ITANGAZE ADHABU YA WALIOISHUSHA KAGERA SUGAR, LA SIVYO VIONGOZI WA JUU WAWAJIBIKE
OFISA MTENDAJI MKUU WA BODI YA LIGI, BONIFACE WAMBURA NA SALEH ALLY WIKI hii imeisha, gumzo badala ya kuwa ubingwa wa...
-
Soka
/ 6 years agoMASHUJAA WA USWAHILINI; SAMATTA, KIBA, TUWAUNGE MKONO NIA YAO NJEMA YA KUIRUDISHIA JAMII
*Twendeni Taifa Juni 2 tukawaunge mkono Na Saleh Ally VIJANA wawili wa Kitanzania, wameamua kukutana pamoja na kufanya kitu kwa ajili...