Stories By Sports Leo
-
Makala
/ 5 years agoStars Kuingia Kambini J’pili
Timu ya soka ya Tanzania(Taifa stars) inatarajiwa kuingia kambini siku ya jumapili ili kujiandaa na mchezo wa kufuzu fainali za mataifa...
-
Makala
/ 5 years agoBoko Arejea Simba sc
Nahodha wa klabu ya Simba sc John Boko ameanza rasmi mazoezi baada ya kuwa nje kwa wiki kadhaa baada ya kupata...
-
Makala
/ 5 years agoMRI Yashikilia Hatma ya Samatta
Hofu ilikua imetanda katika klabu ya Krc Genk anayoichezea Mtanzania Mbwana Samatta kufuatia kupata jeraha katika goti hali iliyosababisha kupelekwa kwenye...
-
Makala
/ 5 years agoGormahia Yatembeza Bakuli
Kama ulijua bakula linatembezwa jangwani pekee basi utakua umechemsha baada ya mfumo huo wa kuomba michango kuiangukia klabu ya Gormahia ya...
-
Soka
/ 5 years agoBigirimana Hali Tete
Licha ya kusajiliwa kwa mbwembe na majigambo mengi kwa wanajangwana mpaka sasa Issa Bigirimana hajaonyesha kile ambacho wanayanga wengi walikitarajia kutoka...
-
Soka
/ 5 years agoUsajili Wa Kisomi Msimbazi
Bosi mpya wa klabu ya Simba sc Senzo Masingizi ameahidi kufanya usajili wa kisomi klabuni hapo ili kuhakikisha timu hiyo inafanya...
-
Soka
/ 5 years agoAzam Fc Yanogewa kwa Straika
Klabu ya Azam fc imeamua kumuongezea mkataba mpya mshambuliaji wake mpya raia wa Ivory coast Richard Djodi baada ya kukoshwa na...
-
Soka
/ 5 years agoLampard Hali Tete
Licha ya kukabiliwa na mchezo mgumu ugenini dhidi ya Wolves kocha wa Chelsea Frank Lampard ana wakati mgumu kutokana na mastaa...
-
Soka
/ 5 years agoAzam,Wazimbabwe Hapatoshi Chamazi
Ni ngumu kutabiri lakini ndio hivyo patakua hapatoshi katika uwanja wa chamazi siku ya jumapili ambapo kutachezwa mchezo wa kimataifa kuwania...
-
Soka
/ 5 years agoMbappe Kutua Genk
Imeripotiwa kuwa mshambuliaji kinda wa timu ya vijana ya Tanzania(Serengeti boys) Kelvin John “Mbappe” atajiunga na timu ya Krc Genk anayoichezea...