Stories By Sports Leo
-
Makala
/ 5 years agoSamatta Aweka Rekodi Uefa
Mtanzania Mbwana Samatta ameweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza michuano ya klabu bingwa barani ulaya wakati akiichezea timu yake...
-
Soka
/ 5 years agoMajanga Yamuandama Guardiola
Ni kama mkosi umemuandama Pep Guardiola na timu yake ya Manchester city baada ya kuandamwa na majeruhi katika wachezaji wanaocheza nafasi...
-
Soka
/ 5 years agoBoxer,Balama Kuwakosa Zesco
Makinda wa Yanga Paulo Godfreyc”boxer” na Balama Mapinduzi wapo kwenye hatihati ya kuukosa mchezo wa marudiano dhidi ya Zesco united ya...
-
Makala
/ 5 years agoMolinga Bado Sana Yanga sc
Timu ya Yanga sc itaendelea kukosa huduma ya mshambuliaji wake David Molinga katika michuano ya kimataifa baada ya leseni yake kutowasili...
-
Soka
/ 5 years agoSamatta Kibaruani Uefa
Nahodha wa Taifa stars Mbwana Samatta kesho ataweka rekodi ya kuwa mtanzania wa kwanza kucheza Uefa ambapo atakuwa uwanjani na timu...
-
Soka
/ 5 years agoStraika Mpya Anukia Simba sc
Kocha wa Simba sc Patrick Aussems amesema timu hiyo lazima itaongeza mshambuliaji katika dirisha dogo la usajili baada ya kugundua upungufu...
-
Soka
/ 5 years agoKinda la Barca Lageuka Lulu Hispania
Kinda wa timu ya Barcelona Ansumane “Ansu” Fati amegeuka lulu baada ya shirikisho la soka nchini humo kuanza harakati za kumpatia...
-
Soka
/ 5 years agoDe gea Ajifunga United
Baada ya sekeseke la muda mrefu hatimaye kipa wa Manchester united David De Gea amesaini mkataba mpya utakaomuweka klabuni hapo hadi...
-
Soka
/ 5 years agoManula,Kakolanya Watemwa Stars
Makipa wa klabu ya Simba sc Aishu Manula na Beno Kakolanya wameachwa katika kikosi cha timu ya taifa (Taifa stars) kilichochaguliwa...
-
Soka
/ 5 years agoMan City Afa kwa Kibonde
Timu ya soka ya Manchester city chini ya kocha Pep Guardiola imechezea kipigo cha magoli 3-2 dhidi ya Norwich city katika...