Stories By Sports Leo
-
Soka
/ 5 years agoKikeke Aula Simba sc
Timu ya Simba sc imemteua mtangazaji wa Bbc Salim Kikeke kuwa balozi wa timu hiyo katika jiji la London nchini Uingereza....
-
Soka
/ 5 years agoHali Tete Tottenham
Licha ya dirisha la usajili kufungwa bado bundi ametanda katika klabu ya Tottenham kufuatia mastaa kibao kumaliza mikataba yao mwakani hivyo...
-
Makala
/ 5 years agoLigi Kuu Bara Mchaka Mchaka
Ligi kuu ya soka Tanzania bara inaendelea tena jioni ya leo kwa michezo mbalimbali ambayo itafanyika katika viwanja tofautitofauti nchini. Singida...
-
Soka
/ 5 years agoJezi za Yanga Zageuka Dili Zambia
Jezi za timu ya Yanga ambayo leo itatupa karata yake katika mchezo wa kutafuta nafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya...
-
Soka
/ 5 years agoMshahara Wa Banda Kufuru Sauzi
Soka linalipa ndio kauli ambayo unaweza kuisema kufuatia mchezaji wa kitanzania Abdi Banda kusaini mkataba mnono huko bondeni baada ya kujiunga...
-
Soka
/ 5 years agoMexime Akubali Mziki wa Simba sc
Kocha wa Kagera Sugar Mecky Mexime ameukubali uwezo wa kikosi cha Simba baada ya kufungwa mabao 3-0 katika uwanja wa nyumbani...
-
Soka
/ 5 years agoFifa Yakana Kumbeba Messi
Shirikisho la soka duniani (fifa) limekana kumbeba staa wa Argentina Lionel Messi ili kutangazwa mchezaji bora wa dunia kwa upande wa...
-
Soka
/ 5 years agoYanga Yatikisa Mji Zambia
Unaweza kusema mji wa Ndola uliopo nchini Zambia umetikisika baada ya Yanga kutua kibabe mjini humo baada ya kubadili ratiba ghafra...
-
Soka
/ 5 years agoFitna Zawaponza Barca
Klabu ya Barcelona imetozwa faini ya kiasi cha Euro 300 na shirikisho la soka la Hispania baada ya kuvunja sheria wakati...
-
Soka
/ 5 years agoKagere Akata Miwa Kagera
Mshambuliaji hatari wa Simba sc Meddie Kagere amemaliza ubishi wa kocha wa Kagera sugar Mecky Mexime baada ya kuisaidia Simba kuibuka...