Stories By Sports Leo
-
Makala
/ 5 years agoOktoba ya Kibaya,Katwila
MCHEZAJI wa timu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro, Jafari Kibaya amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Oktoba wa Ligi Kuu ya...
-
Soka
/ 5 years agoZahera Atimuliwa Yanga
Klabu ya Yanga sc imeachana na kocha Mwinyi Zahera baada ya kuwa na mwenendo usioridhisha uwanjani licha ya usajili kabambe ambao...
-
Soka
/ 5 years agoKmc Yailaza Biashara
Timu ya Kmc imeifunga timu ya Biashara united kutoka mkoani Mara katika mchezo uliofanyika jana mchana ambapo timu hiyo iliibuka na...
-
Soka
/ 5 years agoKarata ya Mwisho
Timu ya Chelsea imepewa nafasi ya kusikilizwa kwa rufaa yao ya kufungiwa kufanya usajili kwa madirisha mawili na shirikisho la soka...
-
Soka
/ 5 years agoAzam, Kagera Hakuna Mbabe
Klabu ya Azam Fc imetoa suluhu na timu ya Kagera sugar katika mchezo wa ligi kuu ya nchini uliochezwa katika uwanja...
-
Soka
/ 5 years agoYanga Yatua,Ndanda Kituo Kinachofuata
Timu ya Yanga sc imerejea nchini baada ya kumaliza michuano ya kimataifa huku ikiondoshwa katika michuano hiyo baada ya kukosa nafasi...
-
Soka
/ 5 years agoNchimbi Anukia Jangwani
Inadaiwa baada ya kuwa na ubutu katika safu ya ushambuliaji klabu ya Yanga sc inafikiria kumsajili mshambuliaji wa timu ya Polisi...
-
Soka
/ 5 years agoKisa Kipigo,Bayern Watimua Kocha
Klabu ya Bayern Munchen imemtimua kocha Niko Kovac kufuatia kufungwa mabao 5-1 dhidi ya Eintracht Frankfurt kipigo kikubwa ndani ya miaka...
-
Soka
/ 5 years agoGomez Kupasuliwa Leo
Klabu ya Everton ya nchini England, imethibitisha kuwa mchezaji wao Andre Gomes atafanyiwa upasuaji leo hii nchini humo. Gomes alivunjika mguu...
-
Soka
/ 5 years agoNi Mwendo wa 4G
Klabu ya Simba imeendeleza wimbi la ushindi baada ya jana kuibuka na ushindi wa mabao 4 bila dhidi ya Mbeya city...