Stories By Sports Leo
-
Soka
/ 5 years agoKocha Wa Makambo,Kwasi Atimuliwa
Klabu ya Horoya AC ya Guinea imemtangaza Lamine N’diaye raia wa Senegal kuwa kocha Mkuu akichukua nafasi ya mfaransa Didier Gomes...
-
Soka
/ 5 years agoTraore Matatani
Adama Traore ameitwa kwenye kikosi cha Hispania kinachojiandaa na mechi za kufuzu Euro2020 ili kuziba pengo la winga Rodrigo Moreno aliyepata...
-
Soka
/ 5 years agoSofapaka yamtimua Mreno
Klabu ya Sofapaka FC ya Kenya imetangaza kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo raia wa Ureno, Divaldo Alves kufatia matokeo...
-
Soka
/ 5 years agoManula- Sina Tatizo na Ndayiragije
Imeelezwa kuwa kipa wa klabu ya Simba, Aishi Manula amesema anaheshimu maamuzi ya kocha Mrundi, Ettiene Ndayiragije kutomuita katika kikosi cha...
-
Soka
/ 5 years agoAussems Akalia Kuti Kavu
Imeelezwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Simba sc Patrick Aussems amepewa onyo na uongozi wa klabu hiyo kuhusiana na mwenendo...
-
Soka
/ 5 years agoMajanga Chelsea
Kocha Frank Lampard ana kazi kubwa ya kuhakikisha anaibuka na ushindi katika michezo ya ligi kuu nchini humo huku akikabiliwa na...
-
Soka
/ 5 years agoKmc Watimua Kocha
Timu ya soka ya manispaa ya Kinondoni(Kmc) imemtimua kocha Jackson Mayanja baada ya kuwa na mwenendo usioridhisha hasa uwanjani hususani baada...
-
Soka
/ 5 years agoAzam Waimaliza Biashara
Klabu ya Azam fc imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya timu ya biashara united katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa...
-
Soka
/ 5 years agoKmc Yapoteza
Timu ya soka ya Kmc imepoteza mchezo wa ligi kuu nyumbani baada ya kufungwa 2-1 na Kagera sugar katika mchezo uliofanyika...
-
Soka
/ 5 years agoSibomana Aikoa Yanga
Staa wa kinyarwanda Patrick Sibomana ameibuka shujaa baada ya kuokoa klabu ya Yanga na kuihakikishia kuomdoka na pointi tau katika mchezo...