Connect with us
Sports Leo

Sports Leo

mwandishi wa habari hizi ana taaluma ya habari na mawasiliano kutoka chuo kikuu cha saut mwanza huku akiwa na uzoefu wa kuandika habari za michezo kwa zaidi ya miaka saba sasa.

Stories By Sports Leo

  • Enrique Arejea Spain

    Luis Enrique ameteuliwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Hispania baada ya hapo awali kujiengua kutokana na matatizo ya kiafya...

  • Mourinho Kocha Mpya Totts

    Klabu ya Tottenham imemteua Jose Mourinho kuwa kocha mpya wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Mauricio Pochetino ambaye amefukuzwa kutokana na...

  • Kalengo,Bigirimana Warejea Kwao

    Iko hivi mastaa wawili wa klabu ya Yanga Mybin Kalengo na Issa Bigirimana wamerejea nchini kwao kwenda kujiuguza majereaha waliyoyapata wakati...

  • Je Wajua?

    Dirisha dogo la usajili kwa msimu huu wa 2019/20 litafunguliwa Disemba 16 2019 na kufungwa January 15 2019 Ilizoeleka dirisha hilo...

  • Aussem Kurejea Kesho

    Kocha mkuu wa klabu ya Simba sc Patrick Aussems anatarajiwa kurejea nchini kesho akitokea nchini Ubelgiji ambapo alichukua ruhusa maalumu ya...

  • Kenya Yaiua Djibout

    Timu ya taifa ya Kenya ya Wanawake imeibuka na ushindi wan magoli 12-0 dhidi ya timu ya taifa ya wanawake ya...

  • Kilimanjaro Queens Yamfunga Burundi

    Timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania Bara(Kilimanjaro queens) imeibuka na ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Burundi katika mchezo wa...

  • Zanzibar queens Wala 5

    Timu ya taifa ya wanawake ya Zanzibar Queens wamefungwa jumla ya magoli 5-0 na timu ya taifa ya Sudan kusini katika...

  • England Kiboko

    Timu ya taifa ya Uingereza imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kossovo katika mchezo wa kundi A kuwania kufuzu...

  • Molinga Awatuliza Yanga

    Pamoja na kusuasua kwenye kuzifumania nyavu katika michezo ya hivi karibuni, mshambuliaji wa Yanga David Molinga amewatoa hofu mashabiki wa timu...

More Posts