Stories By Sports Leo
-
Makala
/ 4 years agoKenya,Tanzania na Uganda Zatangaza Vikosi vya Mwisho Afcon
Nchi za Tanzania,Kenya na Uganda zimetangaza vikosi vya wachezaji 23 watakaoziwakilisha Afcon 2019
-
Soka
/ 4 years agoYanga kubwa kuliko 1.5bn
Klabu ya Yanga inatarajiwa kumalizia kampeni yake ya kuichangia klabu hiyo iliyobatizwa “Kubwa kuliko” itakayofanyika 15 june katika ukumbi wa Diamond...
-
Soka
/ 4 years agoManula Asaini Mitatu Simba
Kipa namba moja wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Aishi Manula ameongeza mkataba mpya wa miaka mitatu na klabu...
-
Soka
/ 4 years agoBoko Asaini Miwili Simba
Mshambualiaji wa Simba Sc John Boko amesaini kandarasi ya miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo baada ya ule wa awali kufikia...
-
Soka
/ 4 years agoAjib Kigeugeu
Staa wa soka la Tanzania Ibrahim Ajib Migomba bado hajaeleweka wapi atakipiga msimu ujao baada ya kushindwa kufikia muafaka na matajiri...
-
Soka
/ 4 years agoMourinho Anukia Newcastle Utd
Kocha wa zamani wa Manchester united Jose Mourinho ameripotiwa kuwaambia rafiki zake kuwa yuko tayari kujiunga na Newcastle ikiwa wamiliki wapya...
-
Soka
/ 4 years agoMwadui,Kagera Kama Kawa
”Kama kawa” ndo msemo rahisi sana kuusikia kijiweni kama mambo yakiwa yanaenda kama yalivyopangwa,Basi ndio ilivyokua katika mechi za kutafuta timu...
-
Soka
/ 4 years agoWillian Achukua Nafasi ya Neymar Brazil
Kocha wa timu ya taifa ya Brazil Adenor Bacchi maarufu kama Tite amemuita winga wa chelsea ya Uingereza Wilian kuchukua nafasi...
-
Soka
/ 4 years agoMatola Anukia Kmc
Baada ya kumkosa kocha wao kipenzi Ettiene Ndayiragije ambae taarifa zinadai amemalizana na Azam Fc timu ya Kmc imeamua kumpa mkataba...
-
Soka
/ 4 years agoUsajili Yanga Waanikwa
Klabu ya yanga ya jijini Dar es salaam imeripotiwa kukamilisha usajili wa wachezaji kumi mpaka sasa kutoka mataifa tofauti ya Afrika...