Habari mbaya kwa Watanzania ni kwamba nahodha wa timu ya Taifa(Taifa stars) Mbwana Samatta atakosekana katika kikosi kitakachoivaa timu ya taifa ya Tunisia katika kuwania kufuzu Afcon mwakani. Nahodha huyo …
Samatta
-
-
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)imepokea kichapo mbele ya Burundi cha bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa leo Octoba 11,uwanja wa Mkapa. Kwenye mchuano huo wa leo ambapo …
-
Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa anategemewa leo kuwa mgeni rasmi wa mechi ya kirafiki iliyopo kwenye ratiba ya FIFA baina ya Taifa Stars ya Tanzania na timu ya Taifa …
-
Mbwana Samatta amewasili leo kwa ajili ya kujiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania inayojiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi utakaochezwa Oktoba 11 Jumapili kabla ya …
-
Nahodha wa Tanzania aliyejiunga na klabu ya Uturuki,Fenerbahce kwa mkopo akitokea Aston Villa,Mbwana Samatta ameanza kufanya yake kwa mara ya kwanza ndani ya klabu hiyo mpya kwa kupachika mabao 2-1 …
-
Klabu aliyotoka nahodha wa kitanzania Mbwana Samatta ya huko Uingereza,Aston Villa imemsajili Ross Barkley kutoka Chelsea kwa mkopo hadi mwisho wa msimu wa 2020/2021. Kiungo huyo wa kimataifa alisajiliwa na …
-
Derby ya Uturuki imewakutanisha jana Galatasary na Fenerbahce ambayo anaichezea nahodha wa timu ya taifa Tanzania (Taifa Stars),Mbwana Samatta na mchuano kumalizika kwa sare ya kutofungana. Samatta aliyejiunga Fenerbahce kwa …
-
Aston Villa imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji ,Ollie Watkins akitokea timu ya Brenford kwa kandarasi ya miaka miatano. Watkins amesajiliwa Aston Villa kwa paundi milioni 28 ambayo inaweza kufikia hadi …
-
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa Stars) Mbwana Samatta, ataendelea kukipiga katika klabu ya Aston Villa msimu ujao wa ligi kuu England baada ya timu yake kunusurika kushuka daraja …
-
Mtanzania Mbwana Samatta ambaye ni mshambuliaji wa Aston Villa ya nchini Uingereza na kinara katika timu ya Taifa (Taifastars) ya Tanzania, anatarajia kutua nchini wiki hii baada ya ligi ya …