Mshambuliaji wa Kimataifa kutoka Tanzania Simon Msuva amekataa kurudi nyumbani kujiunga na klabu ya Yanga na kuamua kujiunga na klabu ya Al Najmah inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza Saudi Arabia. …
msuva
-
-
Mshambuliaji Simon Msuva yupo katika hatua za mwisho kujiunga na klabu ya Yanga sc katika usajili wa dirisha dogo baada ya kuachana na klabu yake ya Js Kybilie ya nchini …
-
Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imetangaza kufikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba wa aliyekua mchezaji wao raia wa Tanzania, Simon Msuva ambapo mpaka sasa sababu ya …
-
Winga wa Taifa Stars Simon Msuva ameshinda kesi dhidi ya klabu ya Wydad Casablanca juu ya madai ya mishahara yake na fedha za usajili ambazo hakulipwa kipindi anaichezea klabu hiyo …
-
Aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Wydad Casablanca Simon Msuva amejiunga na klabu ya Alqadsiah inayoshiriki ligi daraja la pili nchini Saudi Arabia ambapo amesaini mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele …
-
Winga wa timu ya Taifa ya Tanzania Simon Msuva ameipa kipaumbele klabu ya Yanga sc endapo ataamua kusalia nchini kucheza katika klabu mojawapo ya ligi kuu kutokana na kutokumalizika kwa …
-
Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco imepeleka malalamiko yake FIFA kwenye idara ya usuluhishi wa kesi za michezo (Cas)juu ya mchezaji wao raia wa Tanzania, Simon Msuva kwa kukiuka vigezo …
-
Winga wa Kitanzania Simon Msuva ametua kunako klabu ya Wydad Casablanca akitokea katika klabu ya Difaa El-Jadid kwa mkataba wa miaka minne. Msuva alijiunga na Difaa akitokea Yanga sc mwaka …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)imepokea kichapo mbele ya Burundi cha bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa leo Octoba 11,uwanja wa Mkapa. Kwenye mchuano huo wa leo ambapo …
-
Winga wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu ya Morocco ‘Botola Liague’. Mkataba wa awli aliousaini …