Connect with us

Soka

Msuva Atua Wydad Casablanca

Winga wa Kitanzania Simon Msuva ametua kunako klabu ya Wydad Casablanca akitokea katika klabu ya Difaa El-Jadid kwa mkataba wa miaka minne.

Msuva alijiunga na Difaa akitokea Yanga sc mwaka 2017 na baada ya kucheza kwa mafanikio makubwa winga huyo mwenye kasi anatua katika klabu hiyo ya Wyadad ambayo ina mafanikio makubwa katika soka la ndani nchini Morroco na Afrika kwa ujumla.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka