Hatimaye klabu ya Yanga sc imethibitisha rasmi taarifa za kuachana na kocha Nasredine Mohamed Nabi ambaye amedumu klabuni hapo kwa misimu miwili na kidogo baada kujiunga na klabu hiyo ikiwa …
Nabi
-
-
Taarifa kutoka nchini Afrika ya kusini zinarripoti kuwa klabu ya Kaizer Chiefs imefikia makubaliano na kocha Nasredine Nabi kujiunga na klabu hiyo baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya …
-
Kocha wa klabu ya Yanga sc amesema kuwa mchezaji wake Benard Morrison hayuko fiti kucheza zaidi ya dakika anzompa kutokana na tabia ya mchezaji huyo kutopenda mazoezi magumu hali inayosababisha …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kumsajili na kumtambulisha mshambuliaji Kennedy Musonda aliomsajili kutokea Power Dynamo ya Zambia kwa mkataba wa miaka miwili kuja kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ya …
-
Kocha Roberto Oliveira wa Vipers Fc ya Uganda ndiye anatajwa kuwa mrithi wa kocha Nasredine Nabi katika klabu ya Yanga sc siku zijazo baada ya kocha huyo kufanya vizuri na …
-
Klabu ya Yanga sc ipo mbioni kuachana na kocha wake pamoja na kuvunja benchi la ufundi lililochini ya kocha Nasreddine Mohamed Nabi na Cedrick Kaze baada ya timu kuwa na …
-
Baada ya tetesi za muda mrefu kuwa anaweza kuondoka klabu hapo kocha wa Yanga sc Nasreddine Nabi amesaini mkataba mpya wa kusalia klabuni hapo kwa miaka miwili zaidi. Nabi amesaini …
-
Inasemekana kocha wa klabu ya Yanga sc Nasredine Mohamed Nabi badao hajasaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo baada ya mazungumzo baina ya pande mbili kutofikia muafaka wa kusaini …
-
 Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga sc Nasredine Nabi amefunguka kuhusu sakata la kuwatimua kambini mastaa wake Saido Ntibazonkiza na Dickson Ambundo huku akijitetea kuwa alichukua uamuzi huo kwa manufaa …
-
Katika mchezo wa ligi kuu nchini baina ya Azam Fc dhidi ya Yanga sc mastaa wa Yanga sc pamoja na kocha Nasreddine Mohamed Nabi walikabidhiwa tuzo zao walizoshinda kama kocha …