Kiungo wa klabu ya Manchester City Phil Phoden ameibuka kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Uingereza kwa msimu wa mwaka 2023/2024 baada ya kutangazwa kuchukua tuzo hiyo siku ya …
epl
-
-
Nyota wa klabu ya manchester united, Cristiano Ronaldo (37), hii leo amerejea mazoezini pamoja na Wachezaji wenzake katika kikosi cha kwanza baada ya kuondolewa kwa muda kwenye kikosi hicho kutokana …
-
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuifunga Arsenal 3-1 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Old Trafford ambapo mabao ya Antony pamoja na Marcus Rashfod yalitosha kuchukua alama …
-
Klabu ya Manchester City imefanikiwa kutwaa taji la sita la ligi kuu ya Uingereza baada ya kuifunga timu ya Aston Villa 3-2 katika uwanja wa nyumbani wa Ettihad na kuwaacha …
-
Klabu ya Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Man united katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Emirates jijini London. Arsenal waliandika bao …
-
Klabu ya Manchester United imeanza upya kusuka kikosi cha msimu ujao baada ya kumtangaza Erik Ten Hag kuwa kocha mpya wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Ralf Rangnick ambaye anakuwa …
-
Tajiri wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich amekubali kuuzwa kwa klabu ya Chelsea huku Serikali ya Uingereza ikisimamia kila kitu ikiwemo kuchukua faida ya uuzwaji wa timu hiyo inayofanya vizuri …
-
Manchester United wamewakaribisha leo Octoba 24,Chelsea katika uwanja wao wa nyumbani wa Old Trafford kwenye mchezo wa ligi kuu England ambapo wametoka suluhu. Katika mchezo huo uliomalizika kwa suluhu Chelsea …
-
Aliyekuwa kipa wa zamani wa Arsenal na Chelsea, Petr Cech amerejea kwenye timu yake ya zamani Chelsea (The Blues) kama mshauri wa masuala ya ufundi kwa makipa. Petr mwenye umri …
-
Taarifa zinaeleza kuwa Sergio Agüero hatokabiliwa na hatua yoyote ya adhabu kwa kuweka mkono kwenye bega la kushoto la mwamuzi msaidizi Sian Massey-Ellis wakati wa ushindi wa Manchester City dhidi …