Man United Vs Chelsea Watoka Suluhu

0

Manchester United wamewakaribisha leo Octoba 24,Chelsea katika uwanja wao wa nyumbani wa Old Trafford kwenye mchezo wa ligi kuu England ambapo wametoka suluhu.

Katika mchezo huo uliomalizika kwa suluhu Chelsea aliambulia kadi ya njano kupitia mchezaji wao Kai Hervertz dakika ya 45 huku United wakiambulia kadi za njano kwa wachezaji wake watatu ambao ni Luke Shaw dakika ya 38.

Fred alipewa kadi ya njano dakika ya 47 huku Marcus Rashford akipewa yake dakika ya 76

Leave A Reply

Your email address will not be published.