Bao pekee lililofungwa na kinda Joshua Kimich dakika ya 43 limeihakikishia Bayern Munich ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Borrusia Dortmund katika mchezo wa ligi kuu ya ujerumani(Bundesliga). Bayern wanaendelea …
Bayern Munichen
-
-
Klabu ya Borussia Dortmund imewapa kichapo cha mabao 2-0 klabu ya Wolfsburg huko ujerumani katika uwanja wa Volkswagen Arena siku ya leo ,timu zote mbili zikisimamiwa na refa Daniel Siebert …
-
Taarifa kutoka nchini Ujerumani na England zinadai kwamba klabu za Bayern Munich na Manchester City zipo kwenye mazungumzo ya mwisho kwa ajili ya kufanikisha usajili wa winga wa Manchester City …
-
Bayern Munich bado wana nia ya kupata saini ya winga Leroy Sane kutoka Manchester City licha ya kuyumba kwa uchumi kutokana na janga la virusi vya corona . Mkurugenzi wa …
-
Vilabu vya ligi kuu nchini Ujerumani Bundasliga vimeruhusiwa kuanza mazoezi huku vikichukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 wakati ligi zote nchini humo zikiendelea kusimama hadi baada ya Aprili 30, …
-
Mlinda mlango wa Bayern Munich,Manuel Neuer ameingizwa kwenye anga za klabu ya Chelsea inayowinda saini yake ambapo Frank Lampard, Kocha Mkuu wa Chelsea anahitaji kupata mlinda mlango mpya ndani ya …
-
Timu ya Juventus inafikiria kuinasa saini ya Leroy Sane ambaye ni mchezaji wa Manchester City. Sane ambaye ni raia wa Ujerumani amewekwa kwenye rada za Bayern Munichen ambao kwa muda …
-
Klabu ya soka ya Bayern Munchen inayoshiriki ligi kuu nchini ujerumani inataka kumrudisha kocha Pep Guardiola wa Manchester city kuifundisha klabu hiyo baada ya kuachana nae miaka kadhaa iliyopita. Bayern …
-
Klabu ya Bayern Munchen imemtimua kocha Niko Kovac kufuatia kufungwa mabao 5-1 dhidi ya Eintracht Frankfurt kipigo kikubwa ndani ya miaka kumi. Taarifa rasmi ya klabu hiyo ilisomeka kwamba “Klabu …
-
Timu ya Bayern Munchen imeifunga Tottenham mabao 7-2 katika mchezo wa kundi B michuano ya klabu bingwa barani ulaya mchezo uliofanyika katika uwanja wa nyumbani wa Tottenham Arena jijini London …