Mzimbabwe wa Azam Fc,Prince Dube ameweka wazi kuwa ishu kubwa kwake siyo kufunga mabao bali kuwatengenezea wenzake nafasi ya kufunga wakiwa uwanjani. Streika huyo wa mabao amesema kuwa hakuna maana …
azam complex
-
-
Kutokana na mvua kubwa kunyesha leo Jijini Dar-es-salaam,imepelekea mechi ya kirafiki ya Simba Sc dhidi ya Ndanda Fc kughairishwa. Mechi hiyo ilitakiwa kuchezwa leo Octoba 13, majira ya saa 11:00 …
-
Kikosi cha Simba kipo tayari kuvaana na Ndanda Fc inayoshiriki ligi daraja la kwanza leo Octoba 13,katika uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini Dar-es-salaam. Mchezo huo utakaochezwa majira ya …
-
Azam Fc imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fountain Gate kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa jana Octoba 12,uwanja wa Azam Complex. Bao la kwanza kwa Azam lilipachikwa na …
-
Azam Fc ambao ni vinara wa kigi kuu ya Vodacom Tanzania bara (VPL) itakuwa na mchezo wa kirafiki leo Octoba 12,dhidi ya Fountain Gate SC . Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa …
-
Tunombe mukoko ameiongoza Yanga Sc kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya KMKM kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa siku ya jana katika uwanja wa Azam Complex uliopo …
-
Yanga Sc itacheza mechi ya kirafiki kesho dhidi ya Mlandege fc kutoka visiwani Zanzibar katika uwanja wa Azam complex mida ya saa 1 usiku. Wanajangwani hao wameamua kujipima nguvu katika …
-
Azam Fc imewaongeza muda wa mikataba makocha wake katika benchi la ufundi  kwa ajili ya kuendelea kuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2020/21. Makocha hao ni kocha mkuu, …
-
Uongozi wa Azam FC umesema kuwa mashabiki wasikose kesho kujitokeza kwa wingi uwanja wa Azam Complex kwenye kilele cha Azam Festival kwani kutakuwa na burudani za kutosha zilizoandaliwa kwa ajili …
-
Klabu ya Azam imetumia ndege binafsi kumleta jijini Dar es salaam beki wake wa kulia, Nicolas Wadada aliyekuwa amekwama nchini kwao Uganda kutokana na uwepo wa zuio la kutotoka nje …