Yanga Kujipima Kesho Azam Complex

0

Yanga Sc itacheza mechi ya kirafiki kesho dhidi ya Mlandege fc kutoka visiwani Zanzibar katika uwanja wa Azam complex mida ya saa 1 usiku.

Wanajangwani hao wameamua kujipima nguvu katika uwanja wa nyasi bandia ili kujiandaa na mechi ijayo  ya ligi dhidi ya kagera sugar.

Mechi hiyo ya ligi itachezwa katika uwanja wa nyasi za bandia wa kaitaba tarehe 19/09/2020 siku ya jumamosi saa 10 kamili jioni .

Leave A Reply

Your email address will not be published.