Connect with us

Soka

Yanga Yala Kibano TFF

Klabu ya Yanga sc imetozwa faini ya kiasi cha shilingi milioni tano baada ya kushindwa kuwasilisha fomu ya wachezaji kwenye kikao cha maandalizi ya Mechi namba 220 kati ya Yanga SC  dhidi ya Tanzania Prisons.

Taarifa iliyotolewa na shirikisho la soka nchini (TFF) inasomeka kama ifuatavyo:

Timu ya Yanga SC imetozwa faini ya Tsh 500,000 (laki tano) kwa kosa la timu hiyo kushindwa kuwasilisha fomu ya wachezaji wao kwenye Pre match meeting ya mchezo uliofanyika Februari 15, 2020 uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Adhabu hiyo imetolewa kwa uzingativu wa kanuni ya 14(3) ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.

Image may contain: 1 person, playing a sport, stadium and outdoor

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka