Home Soka Mexime Huyoo Jangwani

Mexime Huyoo Jangwani

by Sports Leo
0 comments

Kocha wa Kagera Sugar Mecky Mexime anatajwa kutua jangwani muda wowote kumsaidia Bonifasi Mkwasa  baada ya timu hiyo kuvunja benchi la ufundi lililokua likiongozwa na Mwinyi Zahera na Noel Mwandila.

Kocha aliyeifundisha Mtibwa Sugar kabla ya kutua Kagera amekua kwenye mazungumzo na Yanga na inadaiwa muda wowote anaweza kutua klabuni hapo kujiunga na Mkwasa.

Tangu timu hiyo ivunje benchi la ufundi Mkwasa amekua akisaidiwa na Said Maulid ambaye ni kocha wa kikosi B cha klabu hiyo.

banner

Mexime amekua na mafanikio msimu huu akiwa na Kagera ambapo ameingoza timu hiyo kuwa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited