Connect with us

Makala

Nyota Wa Real Madrid Avunjika

Nyota wa Real Madrid ,Luka Jovic atakosekana katika mazoezi ya pamoja ya timu yake ikirejea katika maandalizi ya kumalizia msimu huu kwani amethibitisha kuvunjika mfupa katika mguu wake wakati akifanya mazoezi binafsi nyumbani kwake siku ya Alhamisi.

Real Madrid wanajiandaa kuanza mazoezi rasmi siku ya Jumatatu kwa ajili ya kusubiri kurejea kwa ligi kuu Hispani,La Liga 2019/2020 kwa kufuata taratibu zote za kiafya wakiwa mazoezini ili kuepukana na virusi vya Corona.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala