Connect with us

Makala

Morrison Noma,Ashinda Kesi Yanga

Kesi ya Benard Morrison na Yanga Sc imeisha baada ya mchezaji huyo kushinda kesi yake kuhusu mkataba wake dhidi ya timu ya Yanga baada ya kuonekana kuwa mkataba huo una mapungufu.

Mwenyekiti wa kamati ya sheria na hadhi za wachezaji wa TFF,Elias Mwanjala amekiri kuonekana kwa mapungufu kwenye mkataba wa Morrison hivyo wamempa mshambuliaji huyo kuchagua timu atakayo hitaji kucheza.

Licha ya kupewa uhuru wa kuchagua timu ,pia wamempeleka kamati ya maadili ya shirikisho la soka Tanzania(TFF) kwa kosa la kuingia mkataba na timu nyingine huku kesi yake na Yanga ikiendelea.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala