Thursday, May 8, 2025
Home Makala Leno Afunguka Kuhusu Martinelli

Leno Afunguka Kuhusu Martinelli

by Sports Leo
0 comments

Mlinda mlango wa Arsenal, Bernd Leno amefunguka kuhusu Mbrazil kinda Gabriel Martinelli kwa kusema kuwa atakuja kuwa staa mmoja mkubwa sana kwenye soka la dunia .

Martinelli aliyewasili Emirates akitokea kwenye timu ya daraja la tatu huko Brazil, Ituano mwaka jana ameonyesha kiwango bora kabisa akifunga mabao 10 tangu alipotua kwenye soka hilo la England .

Leno anaamini kwa tabia za Martinelli yupo kwenye njia sahihi za kwenda kuwa supastaa mkubwa kwa siku za baadaye kwani silaha yake kubwa kwake ni akili pia anajituma sana japo ana umri wa miaka 18 tu hivyo akiendelea hivyo atakuja kuwa habari ya dunia

banner

“Anaweza kuja kuwa mchezaji staa wa dunia na mchezaji wa kiwango cha dunia kwa asilimia 100 kwa sababu ana kipaji na uwezo”alisema Leno

You may also like

Leave a Comment

Soledad is the Best Newspaper and Magazine WordPress Theme with tons of options and demos ready to import. This theme is perfect for blogs and excellent for online stores, news, magazine or review sites.

Buy Soledad now!

Edtior's Picks

Latest Articles

u00a92022u00a0Soledad.u00a0All Right Reserved. Designed and Developed byu00a0Penci Design.