Msafara wa klabu ya Yanga sc umewasili salama mkoani Singida kuelekea mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida Black Stars siku ya kesho jumatatu machi 24. Yanga sc inatarajiwa kumemyana na …
Singida Big stars
-
-
Baada ya kupata ushindi wa 1-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Singida Black Stars sasa rasmi klabu ya Simba Sc itaingia mwaka 2025 …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kuifunga Singida Black Stars kwa bao 1-0 katika mchezo uliofanyika katika uwanja …
-
Klabu ya Singida Black Stars imeamua kuupeleka mchezo wake wa ligi kuu dhidi ya Yanga sc katika uwanja wa Amaani Visiwani Zanzibar ili kupisha ukarabati unaoendelea katika uwanja wake wa …
-
Klabu ya soka ya Ihefu Fc ambayo imezoeleka kuwa na makazi yake mitaa ya Ubaruku Mbarali jijini Mbeya sasa imehamia mkoani Singida ambapo itatumia uwanja wa Liti kama uwanja wake …
-
Taarifa za ndani zinasema kuwa mabosi wa klabu ya Singida Fountain Gate wanafikiria kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya nchini Tunisia kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu pamoja …
-
Klabu ya Singida Big Stars iko mbioni kumalizana na mshambuliaji Amis Tambwe kwa lengo la kuvunja mkataba baada ya kutoridhishwa na kiwango cha mchezaji huyo aliyeisaidia timu hiyo katika kupanda …
-
Klabu ya Kmc imefanikiwa kuchukua alama zote tatu dhidi ya Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu nchini uliofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Kmc ambayo …
-
Baada ya jana kushindwa kutua jijini Dodoma kwa ndege na kulazimika kurudi jijini Dar es salaam usiku na kusafiri tena mapema asubuhi ya leo,Hatimaye kikosi cha klabu ya Yanga sc …
-
Rais wa klab ya US Monastir ya nchini Tunisia Ahmed Belli atoa pongezi kwa Yanga SC na mashabiki wake baada ya jana kupokea ‘kichapo’ cha mabao 2-0 kutoka kwa vinara …