KMC Fc imekamilisha usajili wa golikipa, Masoud Abdallah (Dondola) kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Coastal union. Nyota huyo alikuwa kwenye ubora msimu wa 2019/2020 ambapo alijikusanyia Clean Sheet 17 …
kmc
-
-
Polisi Tanzania inazidi kukisuka upya kikosi chake tayari kwa msimu ujao wa ligi kuu bara ambapo hivi leo wameidaka saini ya mchezaji wa Simba Sc ,Rashidi Juma kwa kandarasi ya …
-
Azam Fc iliyochini ya kocha mkuu Arstica Cioaba ambaye pia ni raia wa Romania inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC leo majira ya saa 1:00 usiku katika uwanja …
-
Uongozi wa Polisi Tanzania umemalizana na mshambuliaji, Ramadhani Kapera aliyekuwa anakipiga ndani ya KMC. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 23 amesaini kandarasi ya mwaka mmoja Polisi Tanzania akiwa ni …
-
Simba Sc itacheza na mechi mbili za kirafiki ambazo ni KMC na Transit Camp siku ya leo Agosti 26 katika uwanja wa Uhuru kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa …
-
KMC Fc imekamilisha usajili wa golikipa kutoka Mbao Fc ,Raheem Sheikh kwa mkataba wa mwaka mmoja. Uongozi huo umeamua kumsajili kipa huyo kwa imani kubwa kuwa atakuwa msaada mkubwa kwa …
-
Uongozi wa Simba Sc umemtambulisha rasmi ,Charlse Ilanfya kwenye kikosi kinachonolewa na kocha mkuu Sven Vandenbroeck. Ilanfya alikuwa anakipiga ndani ya KMC ambapo aliibukia huko msimu wa 2018/19 akitokea labu …
-
Uongozi wa KMC umethibitisha kuwa Charlse Ilanfya ni mali rasmi ya Simba Sc kwani ndio klabu pekee iliyopeleka ofa ya kupata saini ya mshambuliaji huyo. Ilanfya aliibukia ndani ya KMC …
-
Inaelezwa kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu anaweza kutolewa kwa mkopo kwenda ndani ya klabu ya KMC. Nyota huyo alijiunga na Simba kwa dili la miaka miwili akitokea klabu …
-
Klabu za Namungo na Kmc zinawinda saini ya aliyekua kocha wa zamani wa klabu ya Yanga sc Mwinyi Zahera ili kuzinoa kwa msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara. Zahera …