Uongozi wa Timu ya Kmc Fc umemfuta kazi kocha Kali Ongala kutokana na baadhi ya changamoto zake ndani ya timu hiyo yenye makao yake makuu katika manispaa ya Kinondoni jijini …
kmc
-
-
Klabu ya Singida Black Stars leo imekubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Kmc katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini uliofanyika katika uwanja wa Kmc Complex uliopo Mwenge …
-
Hatimaye kocha mpya wa klabu ya Azam Fc Rachid Taoussi ameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Klabu ya Kmc katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini uliofanyika …
-
Mshambuliaji Waziri Junior ameisaini katika klabu ya Dodoma Jiji FC kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea KMC FC ambapo amemaliza mkataba wake msimu huu ulioisha wa ligi kuu. Awali Pamba …
-
Klabu ya Kmc Fc imefanikiwa kuinasa saini ya winga Peter Banda raia wa Malawi na kuizidi kete klabu ya Singida Fountain Gate Fc ambayo ilianza mazungumzo na staa huyo mapema …
-
Kiungo Issa Ndala amejiunga na klabu ya Kmc kwa mkataba wa mkopo wa msimu mzima baada ya klabu yake ya Azam Fc kumsajili Yannick Bangala kutokea Yanga sc hivyo kuhitajika …
-
Klabu ya Kmc imefanikiwa kuchukua alama zote tatu dhidi ya Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu nchini uliofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Kmc ambayo …
-
Mabao mawili ya Elias Maguri na Godfrey Julius yalitosha kuipa alama tatu Geita Gold Sc dhidi ya KMC katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc uliofanyika katika uwanja wa Uhuru …
-
Ikianza na kikosi cha wachezaji wengi ambao wanaanzia benchi Yanga sc imefanikiwa kupata alama tatu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kmc uliofanyika katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini …
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuishusha Azam Fc katika msimamo wa ligi kuu nchini baada ya kuifunga Kmc mabao 3-1 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Ccm …