Mbwana Samatta amewasili leo kwa ajili ya kujiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania inayojiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi utakaochezwa Oktoba 11 Jumapili kabla ya …
Tag:
fenerbahce
-
-
Nahodha wa Tanzania aliyejiunga na klabu ya Uturuki,Fenerbahce kwa mkopo akitokea Aston Villa,Mbwana Samatta ameanza kufanya yake kwa mara ya kwanza ndani ya klabu hiyo mpya kwa kupachika mabao 2-1 …
-
Derby ya Uturuki imewakutanisha jana Galatasary na Fenerbahce ambayo anaichezea nahodha wa timu ya taifa Tanzania (Taifa Stars),Mbwana Samatta na mchuano kumalizika kwa sare ya kutofungana. Samatta aliyejiunga Fenerbahce kwa …
-
Nahodha wa Tanzania,Mbwana Samatta amefanikiwa kujiunga na klabu ya Fenerbahce ya uturuki kwa mkataba wa miaka minne akitokea Aston Villa inayoshiriki ligi kuu England. Samatta ameondoka Villa kutokana na nafasi …