Huu ndio muonekano mpya wa beki wa Simba, Pascal Wawa baada ya kukaa kipindi cha mpito ndani ili kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona akiwa nje ya kambi ya …
corona
-
-
Serikali ya Uingereza imetoa ruksa kurejea kwa ligi hiyo na matukio yote ya kimichezo kuanzia mwezi June 1, ila pasipo kuwa na mashabaki ili kuangalia kwanza taratibu za afya kwani …
-
Yanga inatarajia kuanza mazoezi yake leo (Mei 27, 2020) chini ya kocha msaidizi Charles Boniface Mkwasa ambapo Mazoezi yatafanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Sheria, Dar Es Salaam. Mkwasa amesema …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Meddie Kagere ametua nchini huku akitamba kuwa amekuja kumalizia kazi aliyoianza ya kuhakikisha anakua mfungaji bora wa ligi kuu nchini na kubeba kiatu cha dhahabu. …
-
Manchester United wametangaza takwimu zao za kifedha kwa miezi mitatu ya kwanza ya 2020 ambayo imeonekana kuzua wasiwasi mkubwa huko Old Traord. Klabu imekuwa na ongezeko la deni kwa 42% …
-
Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa masuala ya michezo ikiwa ni pamoja na Ligi Kuu Tanzania Bara ni ruksa kuchezwa kuanzia Juni Mosi …
-
Mchezaji wa zamani wa Manchester United ambaye pia anaweza kucheza kama beki wa pembeni,Ashley Young juzi alionekana akiwa na muonekano wa tofauti baada ya kuacha nyele zake kutokana na kuwa …
-
Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Wanachama kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Rahim Shabany amesema kwa wale wachezaji ambao mikataba yao inaelekea ukingoni na kumalizika mwezi huu watabaki kuwa …
-
Nahodha wa klabu ya Watford, Troy Deeney amesema kuwa hataweza kuripoti kwenye mazoezi ya timu hiyo kutokana na hofu ya maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vinaitikisa dunia. Wachezaji wengi …
-
Uefa imeahirisha mkutano wake wa kamati ya utendaji uliopangwa kufanyika mwezi Mei 27 kwa sababu ya “nafasi wazi” kuhusu kumbi za mashindano ya mwaka ujao wa Euro 2020. Uefa imesema …