Mshambuliaji wa klabu ya Pyramid Fc Fiston Mayele ameivusha klabu hiyo kwenda hatua ya fainali ya michuano ya kombe la Klabu bingwa barani Afrika baada ya kufunga mabao mawili katika …
cafcl
-
-
Mchezaji wa Klabu ya Yanga sc Shadrack Boka amefiwa na baba yake mzazi msiba uliotokea juzi tarehe 11/01/2025 huko nyumbani kwao Jijini Kinshasa nchini Congo Drc. Taarifa za kifo chake …
-
Ushindi wa 1-0 ulioupata klabu ya Yanga sc dhidi ya Klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan umeiweka timu hiyo katika matumaini makubwa ya kufuzu robo fainali ya michuano ya …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Sc Clement Mzize, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa michuano ya Ligi ya mabingwa Afrika na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Mchezaji huyo mwenye …
-
Klabu ya Yanga sc imezidi kunogesha safari yake ya kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Klabu bingwa barani Afrika baada ya kupata ushindi wa mabao 3-1 …
-
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga sc Sead Ramovic ameahidi kuendelea kutumia mfumo wake wa kushambulia zaidi kuelekea mchezo wa kesho wa hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Afrika …
-
Bao la dakika za mwishoni la Prince Mpumelelo Dube dhidi ya Tp Mazembe limerudisha matumaini ya Yanga sc kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika …
-
Ni huruma ukiutazama mwenendo wa klabu ya Yanga sc katika michuano ya kimataifa ya klabu bingwa barani Afrika baada ya kukubali kipigo cha pili cha mabao 2-0 kutoka kwa Mc …
-
Shirikisho la Soka barani Afrika (Caf) limetoa uamuzi wa kutobadili uwanja wa mechi kama ilivyoomba timu ya Mc Algers kuekea mchezo wa Kundi wa kombe la Klabu bingwa barani Afrika …
-
Klabu ya Yanga sc imekubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Al Hilal Fc ya nchini Sudan katika mchezo wa kwanza wa michuano ya klabu bingwa barani Afrika hatua ya …