Bondia raia wa Tanzania Kennedy Ayo amekwama nchini Urusi baada ya kukosa nauli ya kurudi nyumbani kutokana na ubabaishaji wa promota wa pambano lake nchini humo. Bondia huyo alikwenda kupambana …
bondia
-
-
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania Hassan Mwakinyo amefungiwa mwaka mmoja kushiriki mapambano mbalimbali ya ngumi ndani na nje ya nchi kutokana na kosa la kususia pambano dhidi ya …
-
Bondia Matanzania Hassan Mwakinyo ameelezea masikitiko yake juu ya kipigo cha Tko raundi ya nne kutoka kwa Bondia Mwingereza Liam Smith katika pambano lililofanyika Septemba 4 jijini Liverpool nchini Humo. …
-
Bondia Twaha kiduku anatarajiwa kurudi ulingoni mwezi ujao tarehe 26 kukipiga na bondia Alex Kabungu katika pambano la ubingwa ambalo litafanyika mkoano Morogoro. Bondia huyo ambaye mara ya mwisho alipanda …
-
Bondia Hassan Mwakinyo amesema yeye ndie bondia namba moja nchini baada ya kumchapa Muajentina Jose Carlos Pazi katika pambano lililofanyika katika ukumbi wa ndani wa Next Door Masaki Dar es …
-
Bondia Hassan Mwakinyo ametangaza kutokua na kiingilio katika pambano lake la uzito wa juu dhidi ya bondia kutoka Ufilipino Arnel Tinampay litakalofanyika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam tarehe …
-
Mabondia watatu kutoka nchini Kenya wameng’ara katika mashindano ya madola yanayoendelea mjini Rabat nchini Morrocco baada ya mabondia hao kushinda mapambano yao na kufuzu nusu fainali. Boniface Mogunde alimpiga Goma …
-
Baada ya kuishangaza dunia kwa kumchapa Anthony Joshua,Bondia Andy Ruiz Jr amekubali kurudiwa kwa pambano lake na bondia huyo kati ya mwezi Novemba au Desemba mwishoni mwa mwaka huu. Joshua …