All posts tagged "AFCON"
-
Soka
/ 6 years agoUganda Yapigwa,Yafuzu hatua ya Mtoano
Timu ya taifa ya Uganda imefuzu hatua ya mtoano ya michuano ya mataifa ya Afrika(Afcon) licha ya jana kufungwa kwa magoli...
-
Makala
/ 6 years agoAmunike Amvaa Fei Toto
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa stars) Emmanuel Amunike amemvaa kiungo wa Yanga Feisal Salum “Fei toto” juu ya kadi...
-
Soka
/ 6 years agoMisri Waanza Vizuri Afcon
Timu ya Taifa ya Misri imeanza vizuri michuano ya mataifa ya Afrika baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao moja...
-
Soka
/ 6 years agoMwantika Arejeshwa Stars
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa stars) Emmanuel Amunike amemuita kikosini beki wa Azam Fc David Mwantika kwenda kuchukua...
-
Soka
/ 6 years agoStars Kuagwa leo,Kapombe Out
Timu ya soka ya taifa ya Tanzania(Taifa stars) inatarajiwa kuagwa leo mchana katika kambi ya timu iliyopo katika hoteli ya Whitesand...
-
Makala
/ 6 years agoKapombe Hatihati Afcon
Beki wa Simba sc Shomari Kapombe ana hatihati ya kutokwenda katika michuano ya mataifa ya Afrika(Afcon) baada ya kutopona majeraha yake...
-
Masumbwi
/ 6 years agoMikel returns to fire Nigeria to fourth AFCON trophy
Nigeria’s skipper John Obi Mikel has handed the Super Eagles a major boost after confirming his return to the national squad...