Thursday, May 8, 2025
Home Soka Pyramid Kufia Kirumba

Pyramid Kufia Kirumba

by Sports Leo
0 comments

Klabu ya Yanga Sc imethibitisha rasmi juu ya mchezo wao dhidi timu ya FC Pyramid kutoka Misri kwenye kombe la Shirikisho barani Afrika utachezwa katika uwanja wa Ccm Kirumba, jijini Mwanza tarehe 27 mwezi huu.

Mchezo huo wa kwanza wa hatua ya mtoano kufuzu hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika ambapo mshindi wa jumla wa michezo hiyo miwili itakayopigwa kwa mfumo wa nyumbani na ugenini atafuzu hatua ya makundi.

Yanga imepata nafasi ya kucheza hatua hii baada ya kutolewa na Zesco united katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika kwa jumla ya mabao 3-2.

banner

You may also like

Leave a Comment

Soledad is the Best Newspaper and Magazine WordPress Theme with tons of options and demos ready to import. This theme is perfect for blogs and excellent for online stores, news, magazine or review sites.

Buy Soledad now!

Edtior's Picks

Latest Articles

u00a92022u00a0Soledad.u00a0All Right Reserved. Designed and Developed byu00a0Penci Design.