Wednesday, May 7, 2025
Home Soka Niko Tayari Kuicheza Tanzania-Tshitshimbi

Niko Tayari Kuicheza Tanzania-Tshitshimbi

by Sports Leo
0 comments

Nahodha wa klabu ya Yanga Papy Kabamba Tshitshimbi amesema yuko tayari kubadili uraia kuwa mtanzania ili apate nafasi ya kuichezea timu ya taifa ya Tanzania(Taifa stars).

Kiungo huyo anaichezea Yanga sc alisema kuwa yupo tayari kubadili uraia kutoka ule wa Kongo kuja wa Tanzania endapo kocha wa stars atamhitaji kuichezea timu hiyo.

Kiungo huyo alibainisha hayo wakati aihojiwa na watangazaji wa kipindi cha michezo cha Televisheni maarufu nchini.

banner

Kwa mujibu wa sheria za shirikisho la soka duniani(Fifa) staa huyo ana uwezo wa kuichezea Taifa stars kama atabadili uraia kwa kuwa bado hajaitumikia timu ya taifa ya nchi hiyo.

You may also like

Leave a Comment

Soledad is the Best Newspaper and Magazine WordPress Theme with tons of options and demos ready to import. This theme is perfect for blogs and excellent for online stores, news, magazine or review sites.

Buy Soledad now!

Edtior's Picks

Latest Articles

u00a92022u00a0Soledad.u00a0All Right Reserved. Designed and Developed byu00a0Penci Design.