Connect with us

Soka

Benzema Aiadhibu Chelsea

Mabao matatau ya Karim Benzema yalitosha kutuma salamu kwa Chelsea kujipanga katika mchezo ujao wa hatua ya marudiano jijini Madridi baada ya kuwaadhibu kwa jumla ya mabao 3-1 katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Stamford Bridge jijini London.

Ilimchukua dakika 45 za kipindi cha kwanza kwa staa huyo kuwaadhibu Chelsea kwa kufunga mabao mawili ya haraka ndani ya dakika tatu yaani dakika ya 21 na 24 kwa kichwa huku akiwapeleka Chelsea mapumziko wakiwa nyuma kwa mabao 3-1 baada ya Kai Harvetz kuwapatia wenyeji bao la kufutia machozi dakika ya 40.

Chelsea inawabidi wajipange kuwadhibiti Benzema na ViniciusJr ambao ushirikiano wao umekua hatari huku wakifanya mashambulizi hatarishi mara kwa mara langoni kwa Chelsea.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka